|
|||
Lu-ulun-Manthuwrun - 019 - Hadiyth Ya 19: Dhulma Irudishwe Duniani Kabla Ya Malipo Ya Aakhirah
عَنْ
أَبِي
هُرَيْرَةَ
(رضي الله
عنه) عَنْ
النَّبِيِّ
(صلى الله
عليه و آله
وسلم)
قَالَ:
((مَنْ
كَانَتْ
عِنْدَهُ
مَظْلَمَةٌ
مِنْ
أَخِيهِ
مِنْ
عِرْضِهِ
أَوْ
مِنْ
شَيْءٍ
فَلْيَتَحَلَّلْهُ
مِنْهُ
الْيَوْمَ
قَبْلَ
أَنْ لاَ
يَكُونُ
دِينَارٌ
وَلاَ
دِرْهَمٌ,
َإِنْ
كَانَ
لَهُ
عَمَلٌ
صَالِحٌ
أُخِذَ
مِنْهُ
بِقَدْرِ
مَظْلَمَتِهِ.
وَإِنْ
لَمْ
يَكُنْ
لَهُ
أُخِذَ
مِنْ
سَيِّئَاتِ
صَاحِبِهِ
فَحُمِل
عَلَيْهِ))
رواه
البخاري
Imepokelewa kutoka kwa Abu
Hurayrah (رضي الله
عنه)
kwamba Mtume (صلى الله
عليه وآله
وسلم)
amesema: ((Aliyekuwa na kitu cha dhulma cha nduguye
kutokana na kumvunjia heshima au kitu chochote, basi
amuombe amhalalishie leo kabla haijafika siku ambayo
hakutakuwa na dinari wala dirham.
Ikiwa ana ‘amali njema,
basi zitachukuliwa kwa kadiri ya alichodhulumiwa. Na ikiwa
hana, basi zitachukuliwa dhambi za aliyemdhulumu
abebeshwe)).
Bonyeza hapa: Mafunzo Na
Hidaaya:
|
|||
Subira Katika Kutomuasi AllaahMwananchi yeyote anapokosa utiifu mbele ya wale wenye amri ataishia kwenye matatizo. Huenda akafunguliwa kesi na kuishia kifungoni bila ya kutarajia. Hali itakuwa kinyume kwa yule anayewatii viongozi. |
|||
|
|||
|
|||
|
|||
|
|||
|
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment