↓↓↓
suala hili linaonyesha kama lina utata kwa Waislamu wengi kwani linaonekana kuwa ni jambo ambalo linafanywa na Wazungu na watu wa Kimagharibi kwa hivyo halifai Kiislamu. Kwa ajili hiyo naona ni muhimu tuangalie muongozo wa Uislamu unatuambia nini katika masuala ya mapenzi baina ya mume na mke
↓↓↓
Pia inasemekana kiafya huleta madhara. Naa kila chenye kudhuru ni haram kwa muislam kukifanya.
↓↓↓
Vile vile kuna maji maji ambayo hutoka mwanzo yanayoitwa madhii.
↓↓↓
Asli kama ilivyo katika Shari'ah kuwa madhii na wadii ni najsi, na asli nyengine ni kuwa kila najsi ni haramu;
↓↓↓
Na pia haya ni miungoni mwa imani kwa hio kwa mwenye haya hawezi kumramba mkewe/ mumewe uchi.
↓↓↓
Ndio baadhi ya Maulamaa wameona hilo ni jambo linalokirihisha na kuvunja murua wa mume na mke na pia ni katika kuiga matendo ya Makafiri, hivyo ni bora kabisa kujiepusha nalo.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,;

HOJA YA PILI INAYO KUBALI
↓↓↓
katika masuala haya ya mapenzi baina ya wanandoa kuna adabu tulizofundishwa katika Dini yetu. Baadhi yake ni:
↓↓↓
1. Kuchezeana kabla ya kufanya kitendo chenyewe: Mtume صلي الله عليه وآله و سلم amesema: “Asimwendee mmoja wenu mkewe kama wanavyofanya hayawani (yaani kuvamia na kutekeleza uchu wake kisha basi), bali kuwe na Rasuul (mjumbe) baina yao”. Pakasemwa: “Na mjumbe ni nani?” Akasema: “kuchezeana (kupigana busu) na mazungumzo” (Abu Mansuur ad-Daylamiy katika Musnad yake ya al-Firdaws).
↓↓↓
Kwa hio kuchezeana huku nipale patakapo wapa raha nyinyi wanandoa wawili maadamu umeambiwa umchezee mkeo utakavyo na na haikuelezwa umchezee kwa mkono wala mdomo ni siri yenu nyinyi wanandoa wawili. kuchezea huko pingine kwa mdomo au kwa mkono kwa maana hisia huja karibu zaidi kwa kuchezeana sehemu za siri isipo kua nyuma tu ndio ndio iliobainishwa kuwa imekatazwa na ni haram
↓↓↓
kwani katika hilo inaleta ulaini na usuhuba na mke na mapenzi kuzaa matunda na kujiweka tayari kwa kitendo cha mapenzi na kupata ladha katika kujamiiana. ↓↓↓
Mwanamke kawaida anafika kilele cha raha kwa kufanya haya ambayo yanapandisha hamu yake kwa kitendo hicho. Kuna wanawake ambapo ile ladha inakuja kwa kushikwa sehemu fulani fulani zao ndio hao wawili wafike kilele cha jimai.
↓↓↓
♣ Hivyo basi, Uislamu haujakataza kwa mume au mke kumnyonya au kumlamba mwenziwe sehemu zake za siri ili kupandisha hamu ya mapenzi.
↓↓↓
♣Inajuzu kwa mume kumuingia mkewe kwa mtindo (staili) yoyote anayotaka: Hii ni kwa kauli ya Allah Aliyetukuka:
↓↓↓
“Wake zenu ni mashamba yenu; basi yaendeeni mashamba yenu kwa namna mutakayo, na muzitangulizie mema nafsi zenu” (2: 223).
↓↓↓
♣Maana ya ‘kwa namna mutakayo’ ni kuwa haikatazwi kungiliana kwa namna wapendayo mke na mume, ikiwa ni kwa huku au huku, maadam mahali ulipongia ni pale pafaapo” (Tafsiri ya Qur’ani Tukufu, Mj. 1, uk. 90).
↓↓↓
♣Mtume صلي الله عليه وآله و سلم akawa ni mwenye kusema baada ya kuteremka aya hii: “Kwa mbele au kwa nyuma ikiwa dhakari ya mume itaingia katika sehemu ya mbele ya mke” (Al Bukhariy kutoka kwa Jaabir رضي الله عنه).
↓↓↓
♣Hivyo, staili ambayo watatumia mume na mke haijalishi bora tu mahali unapoingilia ni pale ambapo pataleta matunda (mtoto). Na masheikh wengine wamekwenda zaidi kueleza kwamba mashamba yenu munaweza kuyafanya munavyotaka hivyo ndio kwa mke pia.
↓↓↓
♣Hivyo, unaweza kumyonya na kufanya mengine isipokuwa kufanya kitendo cha kumuingilia kwa nyuma.
Ndicho kilicho wekwa wazi kua niharam .
↓↓↓
♣Kwa hio Inatakiwa ifahamike kwa wanandoa ambao wanataka kunyonyana ya kwamba wanatakiwa wajisafishe vyema kabisa sehemu zao za siri. Sababu ya hilo ni kuwa sehemu ya mume na mke za siri zina mikunjo mingi ambayo inatoa fursa kubwa kwa vidudu na viini (germs na bacteria) kujificha na ambavyo vinaweza kusababisha maradhi ya mdomo na hili ni jambo ambalo limefanyiwa utafiti. Hivyo, wanandoa wanatakiwa wajisafishe vilivyo kujitayarisha kukutana kimwili isiwe kila mmoja ananuka kwani kufanya hivyo ni kuleta kero na machukivu kwa mwenziwe.
↓↓↓
Ndio Ibn ‘Abbaas رضي الله عنه akasema: “Inatakiwa mume ajipambe kwa ajili ya mkewe kama vile mke anavyompambia”. Na kujipamba ni kuwa katika hali ya usafi na unadhifu.
↓↓↓
♣Ama kuhusu kutazamana tupu kwa wana ndoa nadhani hadhithi tunazifahamu kua Mtume alikua akioga na mama Aisha pamoja wakiwa uchi kwa hio kwa wanandoa kila mmoja anaweza tazama mwenziwe sahemu za siri.
↓↓↓
♣Na ambae anasema haifai kutazamana uchi kwa mke na mume basi nadhani wakiwa wanaingia kwenye jimai hufunga macho?
↓↓↓
♣Ama kuhusu hadithi inayo tukataza kugusa uchi kwa mkono wa kulia hio inaingia katika adabu za kustangi wala sio kwenye starehe tena ni ibada haswa.
↓↓↓
♣Kwa maana wanaosema kunyonya uchi kisha mdomo huo huo usome quran itakuwa sivyo.sasa kumbuka jimai ni ibada kwa wanandoa na mkifanya mnapata thawabu sasa iweje ukimramba mkeo isemekane ni uchafu?
↓↓↓
Jimai inaitwa ni uchafu kwa kuifanya katika njia ya kuzini huo ndio ni uchafu.
↓↓↓
♣Kwa sabau mtu anapo shika quraan hushika kwa mikono yote miwili mmoja umeshika na mkono mwengine wafungua quraan. je ni kwa nini huu mkono wa kushoto unao stangi mavi na mkojo na damu zote ni najsi kisha unashika quraan?
↓↓↓
Kwa sababu mkono utakua umeuosha najsi ndio ukaishika quraan kwa maana huwezi shika quraa huku mkono umeupaka mkojo ni uoshe ndio ushike
↓↓↓
♣Na hivyo ndivyo kwa mdomo mtakapo nyonyana ukimaliza lazima uoshe mdomo na kama kuna najsi iligusa itakua imeondoka na ukisoma quraan utakua safi.
↓↓↓
♣Na pia kurambana kwa wanao jua basi hawawezi meza maji maji hayo.
♣
Wa Allaahu A'alam
BY Ukhty Saum(from CHEM CHEM YA ELIMU(Abdulnassid))

0 comments :
Post a Comment