1Naam
wengi wao kati ya wanawake anapo taka kuolewa hua mcha Mungu wa ibada
na hijab haimshuki lakini akiingia kwenye ndoa hubadilika.
↓↓↓
2Wana wake wengi wanapo ruhusiwa kufanya kazi hudharau waume zao
↓↓↓
=na kusababisha waume wengi kuwakataza wake zao kufanya kazi
↓↓↓
3Wanawake wengi wanapo gombana na waume zao huenua sauti zao kuliko waume
↓↓↓
=Na kusababisha waume zao kuwapiga sehemu zilizo katazwa kama usoni
↓↓↓
4Wanawake wengi ndoa hua mazoea kwao na kujiachilia kutokuwa msafi wala kujipamba kwa ajili ya mumewe
↓↓↓
=Na kusababisha waume zao kuwaingilia kama wanyama bila yakuwataarisha ( romance) kwa walivyo jiachia na kua wachafu
↓↓↓
=licha yakuwa waume hawatoi za kujirembesha lakini hata kwa wapewao bado wanajipamba wakienda harusini tu
↓↓↓
5Wanawake wengi wanapozaa hujishuhulisha sana na watoto na akasahau jukumu lake kwa mumewe.
↓↓↓
6♣Wanawake wengi niwavivu kujifunza mapishi
↓↓↓
=Nahatimae kusababisha waume zao kwenda kula kwa mama ntilie
↓↓↓
=licha yakuwa waume hawaleti vya kukaangia hata kwa wapelekewao bado wanatoa mashendea tu
↓↓↓
7♣Wanawake wengi wana pinga swala la uke wenza na hawako tayari kuikubali aya hio na wako radhi waume zao wawe na vimada nje lakino wasiowe
↓↓↓
=hatimae kusababisha waume wengi kufanya zinaa nje na vimada =licha ya kuwa uadilifu umetoweka kwa waume wengi.
↓↓↓
8♣
Wanawake wengi wanapo shauriwa na waume zao kuolewa mke mwenza wengi wao hudai talaka
↓↓↓
=Na ndio imepelekea waume wengi kuoa kwa siri
↓↓↓
9♣Wanawake wengi wapotoka majumbani huchukuwa cheo cha waume wakajibandika hao badala yakuomba ruhusa wanawapa taarifa waume zao
↓↓↓
10♣Wanawake wengi wanapo olewa husababisha waume zao kutengana na family zao sana husababisha mume kutengana na mamake
↓↓↓
=Kwa sababu ya choyo walicho nacho wana wake= licha yakua wako waume ambao hawajui haki ya mke n ipi na ya mama ni ipi.
↓↓↓
11♣Wanawake wengi hutoa siri za majumbani mwao na hupenda kuwasifu waume zao mbele za wanawake wengine
↓↓↓
=Hatimae kujikuta kapokonya mume na hao marafiki zao walio wasifia sifa za waume zao na kubaki msemo wakuwa "rafiki yako ndio adui yako"
↓↓↓
SULUHISHO NI NINI ILI TUWEZE KUIMARISHA NDOA ZETU?
↓↓↓
A)→kwanza kabla ya ndoa mke na mume mnatakiwa mupate mafunzo ya ndoa ili kila mmoja ajue jukumu lake kwa mwenzake
↓↓↓
B)→pili Mume kwanza yeye ndio anatakiwa awe mfano mzuri kwa mke wake na watoto wake ndio ataweza kuwarekebisha wanapo kosea.
↓↓↓
C)→Tatu: Mwanamke anatakiwa ndani ya nyumba mume awe juu maana ndio kiongozi na mke awe chini ndio kupatikane lengo la ndoa
↓↓↓kwa maana wote wakiwa madereva sijui abiria atakua nani .ndio tuweze kudumisha ndoa zetu.
↓↓↓
D)→wanaume wanatakiwa wajitahidi sana na uadilifu na kutambua ya kwamba atakwenda uliza siku ya qiaamah juu ya alicho kichunga.
↓↓↓
E)→wana wake wanatakiwa ndani ya ndoa wawe na subra ya hali ya juu na kutambua kua mume wako ndie pepo yako na ndie moto wako ukishindana nae pepo waiokosa.
↓↓↓
Hata hivyo ndani ya ndoa anaeonekana na subra ni mwanamke lakini bado hatuja fua dafu .bado tunahitajika kuongeza subra kwa hali yoyote ile.
↓↓↓
Mtume (swallallahu alayhi wasallam ) anasema:
((Ningeliweza kumuamrisha mtu amsujudie binaadamu mwenzake, ningeliamrisha mwanamke amsujudie mume wake kwa jinsi haki ya mume ilivyo tukufu kwa mke wake)) Tuhfat Al-Ahwadhi 4.323 kutoka Tafsiyr ya Ibn Kathiyr
↓↓↓↓
Kutoka kwa Abdur-Rahmaan bin 'Awf (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) amesema: ((Mwanamke atakaposwali Swalaah zake tano, akafunga Swawm mwezi wake (wa Ramadhaan), akahifadhi sehemu zake za siri (asifanye uzinifu), akamtii mume wake, ataambiwa ingia peponi kupitia mlango wowote autakao)) Swahiyh at-Targhiyb.
↓↓↓
♣WANAWAKE TUJIREKEBISHE KUPATA PEPO SIMCHEZO TUWE KAMA WAJINGA LAKINI TUIPATE JANNAT.

Allaah anajua zaidi
0 comments :
Post a Comment