.UTANGULIZI
Baraza la Katiba la Jumuiya na Taasisi za Kiislam Zanzibar limeundwa na
taasisi kadhaa zikiwemo Muzdalifa, Jumuiya ya Daawa Mujitahidina,
Jumuiya ya Vyuo vya Quran Paje, Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislam, TAMSYA,
Darul-Inswaaf, Zanzibar Islamic Center, TAMUSO, Shura, Fisabilillah
Tabligh Markaz Zanzibar, Madrassat Nuur, Islah Diyn, Jumuiya ya Qadiria –
Shakani, Jumuiya ya Answar Sunna Zanzibar, Jumuiya ya Kulingania Dini
Kupitia Mihadhara (JUKUDIMI), Ummar Bin Abdul-Aziz na Jumuiya ya Tahfidh
Quran na Ulinganiaji Waislam.
MAONI YA JUMLA
Katika maoni ya jumla Baraza la Katiba la Jumuiya Na Taasisi za Kiislam Zanzibar linapendekeza mambo yafuatao:-
Kila penye neno sehemu au upande Kwa kumainisha eneo litumike nchi
kwasababu zilizounda Shirikisho la Tanzania Ni nchi yaani Zanzibar Na
Tanganyika.
Katiba iweke wazi utaratibu WA kuchangia gharama Na
mgawanyo WA mapato yanayotokana Na raslimali za Shirikisho. Kiwango cha
kuchangia gharama kizingatie uwezo WA kiuchumi WA Nchi Mshirika. Aidha
mgawanyo WA mapato uzingatie kiwango cha gharama kinachochangiwa Na Nchi
Mshirika.
Kiti cha Rais WA Shirikisho la Tanzania kikaliwe Kwa njia
ya mzunguko Kwa miaka mitano Kwa njia ya kupokezana kati ya Zanzibar Na
Tanganyika. Aidha Rais anapotoka nchi moja, Makamo WA Rais atoke nchi
nyengine.
Katiba ya Serikali ya Shirikisho la Tanzania ishughulikie
mambo yanayohusu maeneo ya ushirikiano tu Na sio kuingilia mambo
yanayohusu Nchi Washirika Kama vile uvuvi, kilimo, elimu, dini Na
habari.
Muundo WA Serikali Tatu unafaa Na hauna tatizo lolote
katika utekelezaji Kwa sababu zifuatazo: Kila nchi itaendesha mambo yake
Kwa kutumia vyanzo vyake vya kichumi Na kuwa Na bajeti yake
inayojitegemea. Kwa hivyo, Serikali ya Shirikisho la Tanzania haitabeba
mzigo WA kuendesha mambo ya Nchi Washirika Kama ilivyo sasa ambapo
Bajeti ya Serikali ya Muungano inashughulikia mambo ya Muungano pia
mambo yasiyo ya Muungano Kwa upande wa Tanganyika. Aidha, kimuundo
Serikali ya Shirikisho la Tanzania itakuwa Na wizara kidogo zisizozidi
Saba au chini ya hapo Na idadi ndogo ya wabunge. Mambo yote haya
yatapunguza gharama za uendeshaji WA kazi za Serikali ya Shirikisho.
Aidha, Serikali ya Shirikisho itakuwa Na vyanzo vyake vya mapato.
Kinyume Na wanavyodai baadhi ya watu; Muundo WA Serikali Tatu hautavunja
Muungano; Bali Muundo wenye utata WA Serikali Mbili ndio utakaovunja
Muungano. Hii Ni kwasababu, Wazanzibari Wazalendo hawatakubali tena
kuiona Tanganyika inajificha ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano WA
Tanzania Kwa ulaghai Na kutumia raslimali za Muungano peke yake Ili
kuinyonya Na kuikandamiza Zanzibar.
Kuwe Na mgawano ulio usawa
kati ya Zanzibar Na Tanganyika katika nafasi zote za Taasisi za Serikali
ya Shirikisho la Tanzania ikiwemo Bunge la Shirikisho.
Rais WA
Serikali ya Shirikisho la Tanzania apatikane Kwa kuchaguliwa Na zaidi ya
nusu ya wananchi WA Zanzibar Na zaidi ya nusu ya wananchi WA
Tanganyika. Faida kubwa ya Rais kuchaguliwa Na wananchi WA nchi mbili
kila moja peke yake itathibitisha kuwa Rais huyo amekubalika Na kupata
ridhaa ya kuongoza kutoka Kwa wananchi WA Zanzibar Na wananchi WA
Tanganyika; hivyo ataweza kuongoza Kwa kujiamini zaidi.
‘Articles of
Union’ isiwe msingi WA Ushirikiano Na Katiba mpya Bali Nchi Washirika
zikae Na kuweka Makubaliano Mapya yatakayokubaliw a Na wananchi WA
Tanganyika na Wananchi wa Zanzibar kupitia Kura ya Maoni itakayosimamiwa
na Tume zao za Uchaguzi. Makubaliano haya mapya ndio yatakuwa Mkataba
WA Shirikisho Na ndio utakaowasilishw a katika Umoja WA Mataifa ikiwa Ni
Mkataba rasmi WA Kimataifa.
Kila lilipotumika neno ‘uwiano’
lisomeke ‘usawa’ Kwa lengo la kuweka uwazi WA mambo Na kuepusha utata
unaoweza kujitokeza katika tafsiri.
Maamuzi yote katika Bunge
la Shirikisho lazima yaungwe mkono Na theluthi mbili ya Wabunge WA
Zanzibar Na theluthi mbili ya Wabunge Wa Tanganyika.
Kuwepo Na
Mahakama ya Katiba itakayoshughuli kia masuala Na migogoro yote
itakayojitokeza kuhusiana Na tafsiri au utekelezaji WA Katiba ya
Shirikisho.
Majengo ya Ofisi Na Taasisi za Serikali ya
Shirikisho la Tanzania zikiwemo wizara ziwepo Zanzibar Na nyengine
ziwepoTanganyik a Ili wananchi WA nchi zote mbili waweze kufaidikia Na
raslimali za Shirikisho. — with Cuthbert Carter and 9 others.
Baraza la Katiba la Jumuiya na Taasisi za Kiislam Zanzibar limeundwa na taasisi kadhaa zikiwemo Muzdalifa, Jumuiya ya Daawa Mujitahidina, Jumuiya ya Vyuo vya Quran Paje, Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislam, TAMSYA, Darul-Inswaaf, Zanzibar Islamic Center, TAMUSO, Shura, Fisabilillah Tabligh Markaz Zanzibar, Madrassat Nuur, Islah Diyn, Jumuiya ya Qadiria – Shakani, Jumuiya ya Answar Sunna Zanzibar, Jumuiya ya Kulingania Dini Kupitia Mihadhara (JUKUDIMI), Ummar Bin Abdul-Aziz na Jumuiya ya Tahfidh Quran na Ulinganiaji Waislam.
MAONI YA JUMLA
Katika maoni ya jumla Baraza la Katiba la Jumuiya Na Taasisi za Kiislam Zanzibar linapendekeza mambo yafuatao:-
Kila penye neno sehemu au upande Kwa kumainisha eneo litumike nchi kwasababu zilizounda Shirikisho la Tanzania Ni nchi yaani Zanzibar Na Tanganyika.
Katiba iweke wazi utaratibu WA kuchangia gharama Na mgawanyo WA mapato yanayotokana Na raslimali za Shirikisho. Kiwango cha kuchangia gharama kizingatie uwezo WA kiuchumi WA Nchi Mshirika. Aidha mgawanyo WA mapato uzingatie kiwango cha gharama kinachochangiwa Na Nchi Mshirika.
Kiti cha Rais WA Shirikisho la Tanzania kikaliwe Kwa njia ya mzunguko Kwa miaka mitano Kwa njia ya kupokezana kati ya Zanzibar Na Tanganyika. Aidha Rais anapotoka nchi moja, Makamo WA Rais atoke nchi nyengine.
Katiba ya Serikali ya Shirikisho la Tanzania ishughulikie mambo yanayohusu maeneo ya ushirikiano tu Na sio kuingilia mambo yanayohusu Nchi Washirika Kama vile uvuvi, kilimo, elimu, dini Na habari.
Muundo WA Serikali Tatu unafaa Na hauna tatizo lolote katika utekelezaji Kwa sababu zifuatazo: Kila nchi itaendesha mambo yake Kwa kutumia vyanzo vyake vya kichumi Na kuwa Na bajeti yake inayojitegemea. Kwa hivyo, Serikali ya Shirikisho la Tanzania haitabeba mzigo WA kuendesha mambo ya Nchi Washirika Kama ilivyo sasa ambapo Bajeti ya Serikali ya Muungano inashughulikia mambo ya Muungano pia mambo yasiyo ya Muungano Kwa upande wa Tanganyika. Aidha, kimuundo Serikali ya Shirikisho la Tanzania itakuwa Na wizara kidogo zisizozidi Saba au chini ya hapo Na idadi ndogo ya wabunge. Mambo yote haya yatapunguza gharama za uendeshaji WA kazi za Serikali ya Shirikisho. Aidha, Serikali ya Shirikisho itakuwa Na vyanzo vyake vya mapato. Kinyume Na wanavyodai baadhi ya watu; Muundo WA Serikali Tatu hautavunja Muungano; Bali Muundo wenye utata WA Serikali Mbili ndio utakaovunja Muungano. Hii Ni kwasababu, Wazanzibari Wazalendo hawatakubali tena kuiona Tanganyika inajificha ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kwa ulaghai Na kutumia raslimali za Muungano peke yake Ili kuinyonya Na kuikandamiza Zanzibar.
Kuwe Na mgawano ulio usawa kati ya Zanzibar Na Tanganyika katika nafasi zote za Taasisi za Serikali ya Shirikisho la Tanzania ikiwemo Bunge la Shirikisho.
Rais WA Serikali ya Shirikisho la Tanzania apatikane Kwa kuchaguliwa Na zaidi ya nusu ya wananchi WA Zanzibar Na zaidi ya nusu ya wananchi WA Tanganyika. Faida kubwa ya Rais kuchaguliwa Na wananchi WA nchi mbili kila moja peke yake itathibitisha kuwa Rais huyo amekubalika Na kupata ridhaa ya kuongoza kutoka Kwa wananchi WA Zanzibar Na wananchi WA Tanganyika; hivyo ataweza kuongoza Kwa kujiamini zaidi.
‘Articles of Union’ isiwe msingi WA Ushirikiano Na Katiba mpya Bali Nchi Washirika zikae Na kuweka Makubaliano Mapya yatakayokubaliw a Na wananchi WA Tanganyika na Wananchi wa Zanzibar kupitia Kura ya Maoni itakayosimamiwa na Tume zao za Uchaguzi. Makubaliano haya mapya ndio yatakuwa Mkataba WA Shirikisho Na ndio utakaowasilishw a katika Umoja WA Mataifa ikiwa Ni Mkataba rasmi WA Kimataifa.
Kila lilipotumika neno ‘uwiano’ lisomeke ‘usawa’ Kwa lengo la kuweka uwazi WA mambo Na kuepusha utata unaoweza kujitokeza katika tafsiri.
Maamuzi yote katika Bunge la Shirikisho lazima yaungwe mkono Na theluthi mbili ya Wabunge WA Zanzibar Na theluthi mbili ya Wabunge Wa Tanganyika.
Kuwepo Na Mahakama ya Katiba itakayoshughuli kia masuala Na migogoro yote itakayojitokeza kuhusiana Na tafsiri au utekelezaji WA Katiba ya Shirikisho.
Majengo ya Ofisi Na Taasisi za Serikali ya Shirikisho la Tanzania zikiwemo wizara ziwepo Zanzibar Na nyengine ziwepoTanganyik a Ili wananchi WA nchi zote mbili waweze kufaidikia Na raslimali za Shirikisho. — with Cuthbert Carter and 9 others.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment