WAKATI leo kikiwa ni chungu cha tisa cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan, kumeibuka maajabu, mtoto wa kike amezaliwa akiwa amevaa
Tasbihi shingoni.
Tukio hilo lilijiri katika hospitali binafsi ya
uzazi kwenye Jiji la Kotaworo, eneo la Bida, jimboni Niger State nchini
Nigeria, Jumapili iliyopita ambapo maelfu ya watu walikusanyika kwa
lengo kumshuhudia mtoto huyo.
Mtoto wa kike aliyezaliwa akiwa amevaa Tasbihi shingoni. |
0 comments :
Post a Comment