News
Loading...

HATUA ZA KUCHUKUA KATIKA KUACHANA KWA MKE NA MUME


===<> Kuachana kwa mke kwa mume ni jambo lililo halali lakini lenye kuchukiza kwa M/Mungu, kama anavyo sema Mtume{s.a.w} "halali inayochukiza kwa M/Mungu ni talaka"
===<> Suala la kuachana kwa mke kwa mume limekuwa nijambo la kawaida sasa bila ya kufuata hatuwa za kufika kuachana kwa wema na ihsani, na hatima yake huwa ni kwakipigo na chuki kati yao.
===<> Uislam unakutaka kabla huja muacha mwanamke uangalie mazuri yake yanayokufurahisha na ubaki nae kwa mazuri hayo, nakama ikibidi kuachana basi misingi ya kutoa talaka ifuatwe.
HATUA ZIPI ZICHUKULIWE KABLA YA KUTOA TALAKA.
<> 1. Umpe nasaha
<> 2. Uitishe kikao cha wazee.
<> 3. Umuhame kitandani.
<> 4. Umpige kwa pigo liclo muumiza {kwanja ya kanga}
===<> Hatua hizo zatakiwa kufuatwa kwa mpango huenda moja kati ya hzo mwanamke akajirudi na ikishindikana basi muachane kwa wema na ihsani kama siku unaowa ulivoambiwa kwenye khutba ya kukufungisha ndoa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment