↓↓↓
Waume Wengi wana Kibri majivuno kwa wake zao.
↓↓↓
Waume wengi Huwa na Tabia Ya Kuwatusi wake zao.
↓↓↓
Waume wengi huwa na Tabia ya Kuwaita wake zao 'wewe'
Waume wengi wanatabia ya Kutotosheleza Wake zao Kitendo La NDOA
↓↓↓
Waume wengi hawafuati Itifaki au Jinsi ya Kumpa mkeo Tendo La NDOA
↓↓↓
Waume wengi huwa na Haraka Ya Kujimai au Kutenda Tendo La NDOA bila ya Kumtayarisha Mkeo Vilivyo.
↓↓↓
Waume wengi Huwa na Mahawara Kule Nje.
↓↓↓
Waume wengi huwa na Tabia Ya Kula kwa Mama Ntilie kisha chakula cha mkeo Hula Kwa kugusa Tu.
↓↓↓
Waume wengi Huwa mabakhili kwa wake zao
↓↓↓
Waume wengi huwa na Tabia ya Kuvizia Madada za Wake zao yani shemeji.
↓↓↓
Waume wengi huwa na Tabia akipata pesa Hamthamini tena Mkeo.
↓↓↓
Waume wengi husahau walikotoka na pia kusahau wake zao walikotoana.
↓↓↓
Waume wengi.huwa na Tabia ya Kulala ovyo baada ya shoti ya Kwanza na kumwacha Mkeo na Hamu tele.
↓↓↓
Waume wengi wakikosana na wake.zao hutaka kupiga Sehemu Nyeti ya Wake zao na pia kuwapiga USONI na Pia Matiti.
↓↓↓
Waume wengi huwa watu wake wakija kumtembelea nyumbani kwake hapo ndipo ataanza kumkemea mkewe
↓↓↓
Waume wengi hawana Utu kamwe!
↓↓↓
WAUME REKEBISHENI
Jamani waume Tudumishe NDOA zetu
↓↓↓
waume wengi huchangia kuvunjika kwa NDOA

0 comments :
Post a Comment